Psalms 74:2-4

2 aKumbuka watu uliowanunua zamani,
kabila la urithi wako, ambao uliwakomboa:
Mlima Sayuni, ambamo uliishi.
3 bGeuza hatua zako kuelekea magofu haya ya kudumu,
uharibifu wote huu ambao adui ameuleta pale patakatifu.

4 cAdui zako wamenguruma pale ulipokutana nasi,
wanaweka bendera zao kama alama.
Copyright information for SwhNEN